Nyota
Author: Kevin A. Shikuvale
Tamthilia inayozungumzia hali ya vijana walio na malengo makubwa ya kuimarisha maisha yao na jamii kwa ujumla katika taifa linalotawaliwa na uongozi mbaya.
Keywords for this book
Book summary
Tamthilia inayozungumzia hali ya vijana walio na malengo makubwa ya kuimarisha maisha yao na jamii kwa ujumla katika taifa linalotawaliwa na uongozi mbaya.
Reviewed on 21 Sep 2024
NYOTA Kitabu hiki kilichapishwa mara ya kwanza mwaka wa 2024. Ni kitabu kinacho zungumzia pakubwa kuhusu maisha na hali halisi ya vijana. Jinsi mtu anavyopaswa kuwajibikia maisha yake. Msingi wa elimu ni muhimu, lakini bado haitoshi, kuna mengi zaidi ya kufanywa. Uongozi bora ni muhimu lakini bado haitoshi, kuna mengi zaidi ya kufanywa. Je , kufiwa na wazazi ni sababu ya kufanya mtu asione nyota yake iking'aa? Soma tamthilia ya NYOTA upate mwafaka. Kitabu hiki kinawafaa sana wanafunzi wa viwango vya shule za upili, vyuo vikuu , walimu na wengi wanaopigania maisha bora katika jamii. Tuirudi kwa mara nyingine tamthilia hii tuisome tena.