JANGA
Subtitle: Diwani Ya Mashairi
Author: Ali Masito (mudiri)
Janga ni diwani ya mashairi inayozungumzia athari za dawa za kulevya kwa familia, jinsi ya kuepuka na kujikomboa jinamizi hili kisha kuishi maisha huru. Diwani hii si mawazo tu ya mwandishi bali ushuhuda wake baada ya kubusu zimwi la dawa za kulevya kwa miaka mingi kabla ya kukombolewa. Baada ya kukombolewa anahamasisha jamii kuhusiana na adui huyu ambaye kwa sasa anamwita "Janga".
Keywords for this book
Book summary